Duration 3:24

Kizungumkuti cha deni la hospitali na mazishi ya Corona

19 856 watched
0
56
Published 3 Jul 2020

Jioni hii ya leo, Suala la gharama kubwa ya matibabu kwa wagonjwa wanaofariki baada ya kuugua corona na namna mazishi yanavyofanyika imeibuka changamoto kuu kwa baadhi ya familia zilizowapoteza jamaa zao. Kwa familia moja mtaa wa Umoja, kifo cha mpendwa wao kutokana na corona kimewaacha kuhangaikia deni la takriban shilingi milioni nne ambapo lazima walipe kabla ya kuzika.

Category

Show more

Comments - 41