Duration 20:33

UCHEBE AFUNGUKA SAKATA LA SHILOLE KUMDHALILISHA SNURA/KUJIFANYA BORA MBELE YA HADHARA

74 236 watched
0
495
Published 7 Aug 2020

All the African Music. Hottest SHOWS... Mapinduzi Ya Burudani Times FM Ni Redio ya Burudani Nchini Tanzania, Inayoongoza kwa kukupatia Habari za Burudani pamoja na Matukio yote yanayotokea ndani na nje ya Tanzania. #KiafrikaZaidi. Follow us on twitter https://twitter.com/TimesFMTZ and on instagram http://instagram.com/timesfmtz#

Category

Show more

Comments - 533
  • @
    @aminattai26764 years ago Upo vizuri ata majibu yakohutoki katika njia katika imani yako kitu muhimu nakushauri jitahidi sana kukaa mbali na ao waandishi wa habari uchwara wanapenda kuwachanganya watu na kwa wale wasiojielewa wanaharibikiwa mbele ya jamii na mara nyingi ndio malengo yao uteleze ulimi ili siku nyenginewajinga wajinga, fanya ibada zako muweke allah kwa kila kitu na umkabidhi shida zako na umuombe yeye kila baada ya sala akujaalie mke mwenye kheri na wewe nina imani iko sikuna ndoto za mke alieikumbatia dunia na walimwengu atakupoteza tu. ...Expand 12
  • @
    @geofreyanania11084 years ago Dah huyu jamaa anaakili kubwa sana. Yani akurupuki kwenye kujibu maswali yuko very humble. 40
  • @
    @fallymetoo1914 years ago Mwandishi huwezi force ujibiwe utakavyo wewe kwa vile tayari kichwani kwako umeshaiandaa story yako utaipangaje au iwe vpili uweze ku scoop media nyengine . ...Expand
  • @
    @bintmaraika48494 years ago Mashaallah uchebe umenifurahisha sana kwa majibu yako mwanaume kujiamini. 14
  • @
    @ambrosiamlinga84024 years ago Huyu uchebe alibadili dini ili awapige wanawake kwani dini ya kislam inaruhusu kuwapiga wanawake mpaka wakunyenyekee, mtume na uzee wake alimpiga ngumi uchebe arudie tu dini yake hii hasira na aggressions zitakwisha na atakua mwenye upendo mwingi.
    ila shilole awe mwangalifu na huyu nyoka mwenye sumu kali kwani atamfanyia revenge kali, weka ulinzi na ukae nae mbali sana shilole
    .
    ...Expand
    2
  • @
    @faizaahamd20524 years ago Mashaalah kaka ashirafu. Uko vizury mungu akujaalie her nying inshaalaah dua tu ipo siku utapa mke mwema. 14
  • @
    @shersaid79884 years ago Uchebe gentleman unajielewa wewe naniit up. 34
  • @
    @lisadeo45654 years ago Ishallah kaka songa mbele achana na maneno ya watu. 18
  • @
    @asmakhator11874 years ago Mashaallah ashraf allah atuzidishie iman n akuongoz ktk. 3
  • @
    @joharikasuwi69734 years ago Masha allah. Kaka uchebe nimekupenda hapo kwenye dini tu in shaa allah. Allah akuongoze katika hii dunia. 2
  • @
    @aminattai26764 years ago Ma sha allah, hongera bro kuwa na msimamo wa dini yako, kiukweli sikuwa nikifikiria kuwa haukuwa na sasa umekuwa muislamu, upo vizuri katika imani na kuitangaza . ...Expand 54
  • @
    @benakanakimana98194 years ago So beautiful brother nakubali sana uchebe anaongeya kistarabu sana bro ya tapita tu. 4
  • @
    @msrasra54644 years ago Respect broth allah akuzidishiye imani ya dini na msimamo bora kwenye maisha yk jazallallah khery. 1
  • @
    @noonataetaekool58824 years ago Mashaallah, mashaallah. Umejibu sawa kama rijali. Good job uchebe. Very humble guy. We love u all the way from canada, alberta. 1
  • @
    @mbonijabut14054 years ago Hongera kaka utapata mke mwema inshallah. 11
  • @
    @khadijasalum23024 years ago Ameen yarrab uchebe allah atazidi kukufungulia milango ya khair. 3
  • @
    @muniramohamed88874 years ago Mashall-allah akuzidishie na azidii kukuongozaa kwenyee mema amin. 1
  • @
    @salhayahya14094 years ago Mashallah kaka uchebe nyota nyotaa! Mwenyezi mungu akupandishe darja. 2
  • @
    @chiddyissa65884 years ago Mashallah tabaraqallah yaani umemueka mbele allah nzuri kwa kweli hata shilole nae alikuwa anakufata maskini kidogo hata mavazi ameanza kubadilika alikuwa . ...Expand
  • @
    @nadhifasudi14504 years ago Nakukubali sana uchebe kuwa na msimamo huo bhn na mungu atakuepesha na hili na lingine. 1
  • @
    @kijangwazay77114 years ago Maa sha allah
    allah akuongoze katika njia sahihi mengine yaache yapite.
    15
  • @
    @halimaomari75894 years ago Unajielewa sana katika kujibu maswali, masha allah mwenyezi mungu akuongoze katika kila hali. 2
  • @
    @aminahamis93434 years ago Uchebe umeongea point surely dear may allah grand you and bless you. 1
  • @
    @hawahashim82414 years ago Masha allah kaka angu uchebe wallah allah akufanyie wepes kwakira jambo lnsha allah. 1
  • @
    @nishawangaiwangai97654 years ago Masha allah watching from saudia arabia mm mkenya nakupenda bure una hekima sana bro allah atasimama na ww in sha allah. 1
  • @
    @aminamohamed39163 years ago Salam alekum mungu atakupa subra mwanangu atakufanyia wepesi yarab.
  • @
    @annahmbwillo67794 years ago Daaa mungu akuzidishie uchebe kiukweli your very jentroman.
  • @
    @rahmaramadhan97734 years ago Mashallah nimekupenda bure uchebe unamsimamo wadini kama umezaliwa humo. Hongera sana. 7
  • @
    @teedullah57084 years ago Mashallah yani uchebe hao wana habari watakuoqopa hawatakuhoji ujinqa. 4
  • @
    @salhayahya14094 years ago Mashallah kaka uchebe uko vizuri mwenyezi mungu akulinde akupe nusra n stara. 5
  • @
    @ashurasaid41654 years ago Mwenyezi mungu atakupa nguvu zaidi na subra inshaa allah.
  • @
    @aminasalum19544 years ago Allah akujaalie kheir katika hii dunia wafili akhera allah akujaalie mke mwema kizazisaan kwako kutokuongelea mambo yakipuuz kwakweli dini umeishika hili tuu nijema saan. 1
  • @
    @abuubakarsaid94104 years ago Kuna mtu kwenye coment amekuchuki kisa kubadili dini sisi tunakupnda na kma yy amechukia basi nazuie rizki zako kma ana uwezo. 29
  • @
    @khadejarajab80074 years ago Mashaallah uchebe nakukubali sana kweli usijifanye mbora mbele za watu duniani tunapita tu. 4
  • @
    @sanyajuutv26794 years ago Uchebe mungu tu akubariki kwa ukarimu wako sana mahana niwachache wenye kuangalia maneno yakutoa.
  • @
    @ashaomina11364 years ago Mashaallah inshaallah allah akuondolee palipo na uzito akuekee wepesi.
  • @
    @sabrinasab29104 years ago Huyu kaka uchebe anajielewa sana big up. 6
  • @
    @eshynassor56664 years ago Allah akuongoze ktk imani yako uko vizuri. 8
  • @
    @samanthaali8734 years ago Masha allah mola azidi kukuongoza kkangu uvhebe in sha allah.
  • @
    @giftmtemi10494 years ago Yaan nimekupenda baada ya kutoka kwny ukrist kuja uislam allah akuongoze vyma. 20
  • @
    @fatmamohammed69894 years ago Mashaallah bro allah akupe kheri ktk maisha yk.
  • @
    @shakrambaga46564 years ago Daah mtu mwelewa na anaejua kumsoma mtu huyu kaka ana akili sn anajua kucheza na akilizake sn anamjua mungu pya ana siri hapend kufaidisha walimwengu anakubal . ...Expand 20
  • @
    @shabanikamsawa1814 years ago Pole sana man shishi alichemka nuhumziwanda hadi akaimba jike shupa unafikili hayakumkuta sema kwako ulikuwa unamnyoosha ndiyo maana nuhu alikimbia yeye . ...Expand
  • @
    @mansourmuhammed19224 years ago Mahaallwa mungu akuweke huko kwenye uislamu.
  • @
    @farhadhassansaid12974 years ago Allah aqbar, karibu sana na allah akupe umri inshallah.
  • @
    @sweetmeena59704 years ago Maashallah anaijua dini hata kuliko hao waliozaliwa kwenye uislamu hata uwez kumdhania kama alisilimu. 1
  • @
    @rayaali75514 years ago Bismilah maasha allaah ashraff nimekupenda ulivyojibu kuhusu kusilim ni kweli mwislaam hatakiwii kukhadithiaa auu kutangaza alikotokea hasaa ukiwa ulikuwa ndania makosa.
  • @
    @aminasalum19544 years ago Alhamndulillah mashaa allah kwakuijua khaq saf saan ila upo vzr kuliko walozaliwa kwenye uislam.
  • @
    @lovvy8544 years ago Uchebe ni mwanaume mwenye busara hikima na nidhamu na mungu akuhifadhi akufungulie njia zaidikhair.
  • @
    @zuberikamote20784 years ago Dah jamaa yupo vzr sana kwenye majibu. 5
  • @
    @jakirrizwan83254 years ago Pambana kaka usikubali kuyapa nafasi maneno ya watu hii dunia tu. 30
  • @
    @saidamanzi41904 years ago Mashaallah, allah akufungulie rizk ma akulinde na hasad, maisha ya ndoa ya muislam ni siri basi endelea kufanya kuwa siri nakuombea mungu akusimamie. 1
  • @
    @munnawwary7574 years ago Mashaallah mung akuongez we kak kukupenderea tu mm.
  • @
    @ucjvvjcjjvih99344 years ago Am muna from tz alhamdulillah allah akuzidishie iman ma dini big up. 10
  • @
    @shafiamustafa78564 years ago Manshalah kijana anajibu vizuri na kila neno lake anamtanguliza mola wake mwenyezimungu akuonyeshe njia thabiti.
  • @
    @yahyamwadini85464 years ago Allah atakulinda kuwa na msimamo huo mtoto wa kislam. 5
  • @
    @sadabalmas37544 years ago Maashaallaah, dogo, unajielewa saana. Endelea kupga kazi. Achana nawauza sura mjini.
  • @
    @ashasalim59674 years ago Mashallah allah azidi kukuongoza ktk uislam.
  • @
    @aaliyahholden92824 years ago Ashraf unajitambua allah akusimamie kwa kila hatua ujue kutafuta mwanamke mwema sio wanawake wa social media. 7
  • @
    @saidhamad5334 years ago Ucheb unajibu maswali kume kabisa kisomi atar na kiiman mashallah. 4
  • @
    @dainagano36564 years ago Mm hata sielew nkimskiliza shilole km namwamini na pia nkimsikiliza uchebe namuelewa sana. 6
  • @
    @khadijahomankweliyamjahaya74214 years ago He jaman tena muacheni apumnzike afanye mambo yakee, 6
  • @
    @ashuramhando52854 years ago Saf sana kijana allah atakuongoza kwa kumtaja na kumtanguliza kwa kila jambo na kufata njia iliyonyooka.