Duration 2:3

Maandalizi ya chuo A-Z part 3,mwongozo wa utoaji mikopo 2019/2020 kwa dakika 2 tu.

195 watched
0
6
Published 8 Jun 2019

StudentExperiencePoint ni mtando wa wanafunzi unaolenga kutoa uzoefu wanafunzi kwa jamii hasa kwa wanafunzi wanaojiunga na vyuo/shule mabalimbali. Kwa mwaka 2019 tumeandaa taratibu zote ambazo muomba mikopo na vyuo hupitia kwa mpangilio. Tumeandaa kwa kuzingatia mwongozo wa HESLB na uzoefu wetu tulipokuatunaomba mikopo. link- mwongozo https://www.heslb.go.tz/Post/view_post?post=4

Category

Show more

Comments - 1