Duration 6:36

Dr. Chris Mauki: Mambo 5 wanaume huyatazama sana kwenye uchumba

47 644 watched
0
726
Published 11 Dec 2021

Inawezekana unahangaika sana kwenye mahusiano, unaachwa hovyo na hujui ni kwanini, kumbe shida ni kwa sababu hujui vitu wanaume wanatazama zaidi kwenye mahusiano, wewe unajikaanga kila siku kwa kutokujua. Itakukosti. Nifuatilie hapa nikusaidie. Mambo 4 wanawake huyatazama sana kwenye uchumba:/watch/gWLR_6pb3DdbR #DrChrisMauki#Mwanaume#KwenyeUchumba

Category

Show more

Comments - 88