Duration 4:5

EXCLUSIVE: Mtoto wa Mzee Majuto Azungumzia Uteuzi Wake

13 895 watched
0
26
Published 31 Aug 2018

EXCLUSIVE: Mtoto wa Mzee Majuto Akizungumzia Uteuzi Wake! GLOBAL TV imefunga safari mpaka katika Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani kwa ajili ya kumtembelea na kuzungumza na Katibu Tawala Mpya wa wilaya Hiyo, Hamza Majuto, ambaye ni mtoto wa Aliyekuwa msanii Mkongwe wa Filamu nchini Marehemu King Majuto. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni Mstaafu, George Mkuchika Alimtangaza Hamza Majuto , kuwa Katibu Tawala wa Bagamoyo Mnamo Agosti 5 mwaka huu. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe /c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM:

Category

Show more

Comments - 5