Duration 1:57

TAHADHALI NA MATAPELI WANAOJIITA BABU HAJI

402 watched
0
8
Published 26 Apr 2021

ASSALAM ALEIKUM WAPENZI WA TIBA NA MASOMO YANGU NAPENDA KUTOA TAHADHALI NA MATAPELI WAMEKUWA WENGI SANA SIKU HIZI KUPITIA ACCOUNT ZA MITANDAO YA KIJAMII HAS INSTAGRAM PAMOJA NA NAMBA ZAO ZA SIMU HASA WHATSAPP ZIFUATAZO NI NAMBA ZAO 0768 911185 0717 470839 0752 522666 USIJE KUTUMA HELA KWA MTU YOYOTE YULE ZAIDI YA NAMBA ZANGU 0767 393934 0657 555550 NA PIA NIPO KWENYE HATUA ZA KUWAKAMATA HAO WANAO FANYA UTAPELI NA KUJIITA BABU HAJI WANAFUATILIWA NA POLISI MPAKA SASA TUKO MBIONI KUWAKAMATA CHUKUA TAHADHALI NA MATAPELI OFISI ZANGU ZINAPATIKANA BUGURUNI ROZANA TU.

Category

Show more

Comments - 3