Duration 11:52

Majeshi ya Polisi Tanzania na Rwanda Waungana Kupambana na Wahalifu

7 598 watched
0
21
Published 4 Dec 2017

SUBSCRIBE NOW: /user/uwazi1 TANZANIA na Rwanda Zimeunganisha nguvu kupitia jeshi la polisi la Tanzania na Rwanda Chini ya IGP Simon Sirro na RNP Emmanuel Gassana ili kupambana na uhalifu, ujangili na kuangalia namna ya kutatua matatizo ambayo inazikumba nchi hizo. Akizungumza na Waandishi wa habari Gassana amesema kuwa lengo ni kushirikiana kutokana na changamoto ambazo zinatokea katika nchi ikiwemo kuongeza nguvu, vifaa na kuongeza uzoefu wa matumizi ya vifaa. Hata hivyo Sirro amesema kuwa kwa ushirikiano huo ambao unafanyika kwa kuangalia nini ambacho kinatakiwa kufanya na maarifa ambayo yatatumiwa ili Jeshi la polisi liweze kufanya kazi yake kwa usahihi na kupunguza uhalifu na endepo mtu akijiingiza kwenye uhalifu anaweza kupoteza familia yake na kuishia pabaya FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe /c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… /c/uwazi1 /c/uwazi1 /c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis ... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli ...

Category

Show more

Comments - 9