Huu ni mfululizo wa mafundisho yanayotolewa kila Juma katika kanisa kuu la Jimbo Katoliki Bukoba na aliyetoa mafundisho Juma hili ni Padre Maximilian Mtesingwa Paroko msaidizi wa Parokia ya Rwamishenye Jimbo Katoliki Bukoba mada ikiwa ni IMANI
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for Padre Maximilian MutasingwaKila mtu ni mjinga/Imani ni katika kila kitu/Ushirikina siyo imani: