Duration 12:37

Mfahamu kijana alieunda gari Kwa mikono yake mwenyewe Ludewa.

2 487 watched
0
38
Published 17 Oct 2021

Kijana ameunda gari Kwa kutumia engine ya pikipiki, Gari hiyo inawezo wa kubeba abiria wawili na mizigo. Na pia gari inawezo wa kurudi reverse #Ludewa Njombe

Category

Show more

Comments - 6