Duration 4:47

Burton King - Mwenye Nguvu (Official Video) SMS Skiza to 811 for Skiza Tune

63 083 watched
0
794
Published 17 Jul 2019

This song is an acknowledgement that Only God has the power and Ability to Raise us all and put us in all the positions we desire to be in our lives. It is a deliberate show of our desperation and dependency on God alone. Whatever we have, whoever we are, we all NEED HIM. I composed this song way back when I we going through a hard time and am glad God heard me and raised me. Am forever grateful. Lyrics Verse 1. Nasongea miguuni pako; Mimi mnyonge,mdhaifu; Una nguvu za kuinua moyo wangu... Nimejaribu kwa nguvu zangu,kwa Elimu yangu, ujanja wangu; Nimeshindwa nimekuja kwako Mungu mwenye nguvu Maana wewe nguvu yangu, uwezo wangu,ushindi wangu Unishike uyafute machozi yangu. Maana ni wewe Chorus Ni wewe mwenye nguvu, za kuinua moyo wangu ili mimi nizungumze nawe. Tena ni wewe mwenye uwezo wa kuinua maisha yangu ili mimi niishi nawe. Ni wewe mwenye nguvu za kuinua moyo wangu ili mimi nizungumze nawe Tena ni wewe mwenye uwezo wa kuinia maisha yangu Ili mimi niishi nawe. Verse 2 Nimejaribu wanadamu baba Wanadamu wana shida zao, pia nao,wanakuhitaji wewe Nimejaribu dunia yote Dunia nayo baba inashida zake,inakuhitaji wewe Ni wewe tu msaada wangu Yesu Ndio maana naja kwako Unajulikana simba wa Yuda mtetezi wangu Bendera ya ushindi wangu nakuamini ... Chorus Ni wewe mwenye nguvu zakuinua moyo wangu ili mimi nizungumze na wewe Tena ni wewe mwenye uwezo wakuinua maisha yangu ili mimi niishi nawe Ni wewe mwenye nguvu za kuinua moyo wangu ili mimi nizungumze nawe Tena ni wewe mwenye uwezo wa kuinua maisha yangu Ili mimi niishi nawe Ili mimi niishi nawe Ili mimi niishi nawe GOD BLESS YOU. Burton King

Category

Show more

Comments - 113