Duration 17:21

NABII WA GAIRO ANAWATAKASA WAUMINI KWAKUTUMIA UUME WAKE

35 842 watched
0
241
Published 27 May 2020

Huyu jamaa anajiita Nabii au mtumishi wa Mungu hukuGairo Mkoani Morogoro jamaa huyu anatuhumiwa kubaka wake za watu na mabinti kwa kuwadanganya kuwa anatakasa kwa kupitia uume wake na hatimae amempa ujauziti Mwananfunzi wa Kidato cha tatu.Fwatilia tukio hili ambalo Mkuu wa Wilaya ya Geita amelisimamia mwanzo mwisho hadi kumpeleka polisi huyo jamaa.. #geahhabibu #GeahTv

Category

Show more

Comments - 294