Duration 2:25

Diamond Platnumz Aweka Rekodi Mpya Africa Subscribers Wengi Zaidi Youtube

4 887 watched
0
111
Published 25 Dec 2021

Diamond Platnumz Aweka Rekodi Mpya Africa Subscribers Wengi Zaidi Youtube #diamondplatnumz amefikisha Subscribers million 6 kwenye Chanel yake ya mtandao wa Youtube ,Boss huyo wa #wasafi asafi na #wasafimedia Anakuwa msanii wa Kwanza Kwa Nchi za Sub Sahara ikiwemo Nigeria mwenye Subscribers wengi zaidi,Tazama Hapa #grammedia Kwa sasa Diamond anatamba na Wimbo wa #unachezaje

Category

Show more

Comments - 12