Duration 39:1

MTOTO YUSUFU AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUKUMBUKA HAYA.

361 911 watched
0
4 K
Published 18 Jul 2020

Sehemu ya pili kuhusu mtoto Yusufu Baada Ya Kufika Mji wa Dar es salaam kwa ajili ya kupata msaada zaidi kuhusu Elimu na kipaji chake mwendelezo huu wa pili ndio una story nzima kuhusu ile clip ya mtoto yusufu aliyokuwa anaimba namna iliponzia na nani aliyechukua mpaka kufika kwenye jamii, katika mwendelezo huu ni kuwafahamisha watu wote waliokuwa wameguswa toka sehemu mbali mbali kumsaidia mtoto yusufu kwa mawasiliano zaidi kuhusu Yusufu wasiliana kwa namba +255 674724010

Category

Show more

Comments - 1658