Duration 3:26

CCT yaja na mkakati mpya wa Umeme kwa kaya maskini

Published 13 Jan 2022

Jumuiya ya Kikristo Tanzania(CCT) kupitia Mradi wa Nuru kwa Kanisa imekuja na mkakati wa kuhakikisha kila jamii hasa kaya maskini kwa dini zote inapata umeme kupitia mradi huo. Mradi unatekelezwa katika Mikoa ya Iringa, Geita ,Mara na Kagera ambapo baadae utatanuka na kuwafikia wakazi wa Mikoa mingine kama Dodoma. Ni mradi unaowawezesha wanufaika kupata mitambo hiyo(Solar) kwa mkopo na marejesho kufanyika kidogkidogo kwa masharti nafuu. Lengo la mradi ni kuhakikisha kila kaya katika maeneo tajwa inapata mwanga wakati wa usiku.

Category

Show more

Comments - 0