Duration 9:46

Jinsi ya Kulinda Nywele Zisikatike Wakati wa Kuosha | Prepoo Oil

1 866 watched
0
33
Published 23 Feb 2021

#prepoo #4chair #aloevera Prepoo ni utaratibu wa kuandaa nywele kaba ya kuosha ambao awali ulihusisha kupaka mafuta yanayopenya kwenye nywele ili kuzuia nywele kufyonza maji mengi na kupelekea kukatika. Utaratibu huu unatoa nafasi ya kurutubisha nywele pia na hivyo hii prepoo oil ina virutubisho vingi vinavyosaidia kukuza nywele ndefu na zenye afya. MUSIC: Infinite by Valence No Copyright Sounds /watch/8GQg74DqoHQqg Royalty Free Music from Bensound https://www.bensound.com/royalty-free-music/track/summer-chill-relaxed-tropical

Category

Show more

Comments - 7