Kwa mbali naona ni kama maji ya bomba yakiitirika kutoka katika mawingu au maji ya ziwa yakiwa yanapanda mawinguni😳 Mmoja kaniambia ni kimbunga cha ziwa Nyasa 🤔 Mhhm kimbunga tena? Mawazo yako muhimu hiki ni kitu gani?
#Maajabu #Ziwanyasa
Category
Show more
Comments - 1
Related videos for MAAJABU HIKI NI KITU GANI KATIKA VIDEO: