Duration 3:10

TAMBO za HAJI MANARA Baada ya KUICHAPA AL MERRIKH - TUMEFUNGWA na CHIKWENDE TU ,TIMU NZURI..

47 511 watched
0
300
Published 16 Mar 2021

TAMBO za HAJI MANARA Baada ya KUICHAPA AL MERRIKH - "HAKUNA TIMU INAYOTUZIDI" MSEMAJI wa Klabu ya Simba SC, Haji Manara, ametamba kuwa kwa sasa Simba ndio timu bora kwani mpaka sasa imecheza mech nane na imeruhusu bao moja tu.. Tambo hizi zimkuja baada ya leo Machi 16, Simba kuilaza Al Merreikh ya Sudani kwa mabo 3 kwa bila katika dimba la Mkapa, Dar es salaam.. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 34
  • @
    @UlimeA3 years ago Amen.
    kama mungu ametuandikia.
    kila la kheri simba nguvu mojaa.
    3
  • @
    @babakeicyklein28203 years ago Manara where can we buy simba t shirts in usa
    we not from tanzania but we love simba.
  • @
    @babakeicyklein28203 years ago We are not tanzanians but we love simba
    we in usa
    where can we buy simba t shirts in usa.
  • @
    @eliasnyondo55283 years ago Mech 2 zilizobak tupambane tupate pont 6 zote.
  • @
    @dossa5543 years ago Huy anay challenges lugha itkw mwana yanga.
  • @
    @mkemiamagege84773 years ago Hata kipindi kile as vita tuliwatoa walijua watapata point nyumbani kwetu na wakati huu wasifikiri watapata points nyumbani. Waje na hasira sisi tunawanyonyoa . ...Expand
  • @
    @SIRNDIZO3 years ago Nakubal wanang wa pale msimbaz kariakoo tupo xambamba. 4
  • @
    @fredymkanza3 years ago Kingereza kimekuwa changamoto sana bongo
    jamaa anasema bado match mbili
    moja away instead word, abroad. Not away. Match moja inachezewa abroad.
    moja nyumbani.