Duration 7:28

TAZAMA NDANI NA NJE UZURI WA STESHENI YA SGR MOROGORO,UJENZI UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 90%.

30 173 watched
0
339
Published 14 Jan 2021

Category

Show more

Comments - 97
  • @
    @ludyonlinetv31163 years ago Congratulations to you my president his excellence hon john joseph magufuli. May good lord bless you always. 21
  • @
    @johnmlay47593 years ago Thanks god for bringing us such a hardworking president who committed himself to bring tanzanians really development, protect and lead him so he can deliver . ...Expand 38
  • @
    @bernardoleonard73313 years ago Nilikuwa chadema lakni sasa sina chama ila magu mh baba nakupenda sana kwa maono nakujitolea kwako mungu akupe maisha marefu amen. 10
  • @
    @kambamazig020243 years ago Haya ndiyo maendeleo, maana wengine walikuwa wanabeza. Leo hii stesheni kama hii ni kitega uchumi kikubwa sana. Kudos jpm, asante kwa kuwafungua macho watanzania kuwa tunaweza. 18
  • @
    @KS-iw7qv3 years ago Doh kumbe kila kituni kupata viongozi wenye maono tu. God bless tanzania. 7
  • @
    @emanuelpaul79713 years ago I salute you dr john magufuli. Mungu akulinde zaidi. 4
  • @
    @J4UPro3 years ago Safi sana rais wangu uzalendo kwanza mengine baadae jpm forever. 17
  • @
    @cosmasdaud90883 years ago Serikali kuu inakwenda kukusanya mapato kupitia huu mradi bala tuvumilie tu mambo mazuri yanakuja huu mradi ukianza kuzalisha pesa. 11
  • @
    @errydeo88653 years ago Niko nje, kuna stations kibao, nyingi hazina ubora huo, ukiachia main stations za miji mikubwa! Safi. Sana. Hata zahatua. 3
  • @
    @MYCYOBEL3 years ago Huyo jamaa aliyeanza kuongea yuko vizuri sana anamaelezo yamenyooka na anaeleweka. 17
  • @
    @april7teen3 years ago Mwenye namba ya mbeligiji anipe nimtumie hii video sio vizuri apitwe na mambo kama haya. 22
  • @
    @ernestsinje86933 years ago Sasa huku ulaya kuna tofauti gani na nyumbani? Bora nirudi home tu. Du! 16
  • @
    @GraphicdesignerTz3 years ago Kazi hii ni mipngo ya mungu kumuwezesh rais wetu kuonesha vitendo katika ahadi zake. 11
  • @
    @cosmasdaud90883 years ago Magu kiboko jaman tuache unafiki kwa maendeleo tu ametisha miaka 5 tu ya kwanza kafanya maajabu. 12
  • @
    @uledimtumwa24063 years ago Jamani hapo sio chato kweli! Ila watu wana chuki binafsi. 11
  • @
    @kelvinchuwa22123 years ago Kweli hii ni 20 /21 nimefrahi kuiyona namshukuru mungu. 1
  • @
    @zakariagaspa99183 years ago Da atari kama hubeyi chaina ndo kuna ivi vitu. 9
  • @
    @blancoskitchen25253 years ago Tafadhalini jamani as mnaona mradi umechukuwa mapesa mengi jitahidini maintenance jamani mirado mingi ya selikari haina maintenance kama mwendokasi hasa vituoni. 1
  • @
    @nicholausswai77563 years ago Hapo ukiingia lazima uwe msafi.
    ule uporipori yabidi watz tuuache. Japo wasiwasi wangu mkubwa ni kama tutaweza kuendelea kutunza hayo mandhari yabakie katika ubora wake kwa miaka.
    6
  • @
    @joelrugano65173 years ago Tatizo kubwa tulilo nalo ni matunzo
    hatuna jadi ya kutunza (maintanance) tunajenga vitu vizuri baada ya muda kila kitu kina chakaa.
    tusiwe taa zinang' ara leo je baada ya miaka mitano hali itakuwaje?. ...Expand
    2
  • @
    @masundelwa3 years ago Safi sana trc reli tz. But make video more cinematic. 1
  • @
    @angelavayinga9143 years ago Tanzania mpyasana magufuli raisi wetu. 2
  • @
    @bongobongo17553 years ago Usilete mchezo kwa magu mavitu ya ulaya tunaletewa na bado ndio ameanza. 25
  • @
    @zefamange72813 years ago Hongera rais mwenye maamuzi magumu, jpm. 4
  • @
    @jokeableking70393 years ago Huwa naakaa nafikiria saana lkn nashindwa kupata majibu ya harakaviongozi kama hawa walikuwa wapi toka kung' atuka kwa mwl. Miaka ya 85? But only god knows. Excellency honourable jpm to advance us. Amen. ...Expand 3
  • @
    @temkezatv43813 years ago Tanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1 katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza . ...Expand 13
  • @
    @onesmojustice23483 years ago Hivi yule jamaa kweli angeweza kufanya haya na sera zake za america? 2
  • @
    @sudisalumu44353 years ago Mashine za kukatiawenyewe ili waje wachana tiketi kama wa mwendokasi wanazarahu hao.
  • @
    @eischerschwederm78763 years ago Naomba mpambe na maua ndani yaani maia ya miti please na pia culture zetu kama decorations. 1
  • @
    @kabwelasutiviraka47653 years ago Wana morogoro mlio ndani na ughaibuni mpo? Muda si mrefu morogoro liwe jiji, tulio ughaibuni turudi tuijenge morogoro yetu mji wa milima uluguru mji kasoro bahari, 1
  • @
    @evaristmandilindi61473 years ago Mimi napenda sana maendeleo ka haya katka nchi yangu ila tatzo tu weakness ya nchi yangu ni matunzo hatuwez tujitahid sana kuweka bajet ya matunzo ya hii miundombinu. 1
  • @
    @evaristmandilindi61473 years ago Et kuna ma mtu ma8 yamedislike yaan hayajapenda.
  • @
    @husseinhkitambi17013 years ago Utunzaji ndio tatizo mwendo kasi imeharibiwa vibaya tulikua na mashine za card lkn sasa card hazitumiki wameharibu makusudi ili waendelee kuiba. 9
  • @
    @kelvinchuwa22123 years ago Matajili wa mabasi wajipange manyanyaso sasa basi wanyooshe mh: magu walizidi kutunyanyasa mabasi yao wakafugie kuku nyoko. 1
  • @
    @iddisillas45223 years ago Alafu unasikia mtu anasema maendeleo ya vitu? Ulitaka tuvae ngozi za kikoloni mpqka leo?
    eti ndio alitaka kuwa raisi mpinga maenseleo
    magu nakuombea kiongozi mwenye maono. ...Expand
    1
  • @
    @mohammednassor30813 years ago Magufuli unastahili sifa na wewe ndie rais wa watu uwe rais wa maisha. 1
  • @
    @kasimmarko55133 years ago Mh rais magufuli hii reli tunaomba iende hadi mwanza sbbu anaweza ongera mh rais.
  • @
    @2.0BuzzDre3 years ago Tanzania twasonga mbele kenya mko nyuma bila pingamizi. 7
  • @
    @revocatusedward57393 years ago Watanzania naanza kuwakumbusha kabisa wale wenzangu na mimi hiyo milango inajifungua yenyewe sasa we ufike uanze kulivuta. 10
  • @
    @beaugosseadam68313 years ago Watu wana hasira kubwa sanaa, kwasababu ya kubanwa kwa wizi, dili na ubadirifu. Ccm ikikosea kama 2005-2015 hivi vyote tunavyoviona vitapigwa bei. 4
  • @
    @iddisillas45223 years ago Alafu unasikia mtu anasema maendeleo ya vitu? Ulitaka tuvae ngozi za kikoloni mpqka leo?
    eti ndio alitaka kuwa raisi mpinga maenseleo
    magu nakuombea kiongozi mwenye maono. ...Expand