Duration 13:2

Wengi wamelia,wimbo alioimba HAMISI leo baada ya kutolewa bongo star search utakutoa machozi.

271 123 watched
0
1.8 K
Published 23 Dec 2019

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #hamisi #Bongostarsearch

Category

Show more

Tags

Comments - 622
  • @
    @christophermlaponi5345 years ago Kumwambia mtu ukweli ndiyo dawa ya kumsaidia kuliko kumpet pet kihuruma huruma nk.
    lakini pia sisi watazamaji ni vema tukaelewa lengo la mashindano sasa hebu tuwe wakweli, hivi kwa hao walio bakia hapo ndani ni nani anafanana na khamis kwa uimbaji, uwezo wa sauti na hata stage performance?
    hao ni wakali kuliko khamis. Hivyo kwa wanao sema hawataangalia bss tena ni sawa, ila kumbukeni pia hata hao walio bakia pia wana mashabiki wao, so watazamaji wataendelea kuwepo kibao tu!
    khamis keep it up, maisha yanaendelea! Tutajua wewe haukuwa mshindani kama hautajaribu tena bss ijayo, na wakati huo hapa kati kabla ya hiyo bss ijayo kama ukiwa makini utaweza kufanya vitu vingi vikubwa. Kumbuka wewe bado ni kijana mdogo, hivyo bado una fursa kibao hata kama ni nje ya muziki. Hivyo tutakushangaa sana ukiendelea kukaa kaa tu nyumbani pasipo shughuli yoyote kama yalivyo kuwa maelezo yako wakati ulipo ingia katika mashindano haya!
    ila mwisho, usiungane kabisa na wale wanao wasema majaji vibaya, ni vema ukawa na moyo wa shukurani, kwani unatoka bss tofauti kabisa na jinsi ulivyo ingia, hivyo waheshimu hao watu pia!
    .
    ...Expand
  • @
    @Radga235 years ago The issue hapa ni unprofessional judging! Its true hamis is a good authentic upcoming singer. He is not perfect yet but kwa kufundishwa atakuwa mkali s tatizo hapa ni judging, hivi ni kwanini majaji wasiangalie mapungufu katika sauti muonekano na kuwashauri washiriki nini cha kufanya kuboresha? Inawapunguzia nini? Why should they keep discouraging participants instead of motivate them? Kwanini wasiwaoneshe makosa kitaalamu na kuwashauri nini cha kufanya? Why they keep bullying a young talented poor guy like hamis badala yakumfanya awe bora? Hapa ndiyo nawaila hawa majaji ( i lost even the word to say but they areplease learn from others your are unpalatable for sure. ...Expand 1
  • @
    @kapesekapese71675 years ago Aisee nimesikitika sana, bss kumtoa huyu dogo. Najua mpo wengi. Hebu tujuane hapa. 52
  • @
    @shabandamas17595 years ago Master j unafel wap ndugu yangu mbona unashindwa kuwa mbunifu nani aliesema kuwa bongo star search, mtu kuwa star mpaka aimbe nyimbo za kufokafoka au mapenzi . ...Expand 1
  • @
    @janetkemush37845 years ago Sijui kama ntawatchyou hamisi sana mdogo wangu una kipaji. 1
  • @
    @kawesijoseph42095 years ago Mumechukua muda mwingi sana kutafuta njia ya kumuonda hamisi lkn sio fair bora munge muondoa mwanzo kuliko kusafiri nae mara mumutoa mara mumurudishe sasa . ...Expand 21
  • @
    @zaibonge78675 years ago Na dully amempa heshima hamis maana hajamuita pamoja na wale waliotoka. Big up hamis umevunja record ya bbs toka ianze. Ww ndo mshiriki uliependwa zaidi. 56
  • @
    @christinammassy15505 years ago Jamanii, hamis, utabaki kuwa hamis, hakuna kama wewee. Nimeambiwa tu unaweza, tunahitaji uwepo wako. Hope shabiki zako tutaendelea kukuona tena coz tunakuombea mema zaidi ktk muziki. 5
  • @
    @asiakibonge46995 years ago Hamisi amejitahidi sana ila asikate tamaa. 13
  • @
    @ayeshiiddi82745 years ago Nampenda hamisi ila alivyotoka nimefurahi mana chuki ni mwanzo wa mikosi m2 unamchukia mtt wa mwenzio kama nn na ungeimba ndombolo kabisa ili akutoe kwa kujigamba. 15
  • @
    @dauchiushi34815 years ago Pole sana mdogo wng hamisi mungu bado yuko nawe na ninaimani atakutangulia na kila jambo. 3
  • @
    @ashingulemmambale76255 years ago Ilionyesha toka mwanzo hamumpendi ndio maana nae kasema atafurahi sana kusikia ametoka. Bss sio mwisho wa maisha kapambane utatoboa mwanangu hamis. 2
  • @
    @minazsaid24705 years ago Anaimba with feeling ila master j sio mtu mzuri hajampenda huyu kijana tokea mwanzo. 63
  • @
    @jullylawrance1435 years ago Master j kumamako nakuchukia we baba ndio maan umezeeka mkundu. 5
  • @
    @estamelejomah5725 years ago Usichoke hamisi usikate tamaa munguyupo tu anaona kilio chako. 5
  • @
    @mossesimessi32565 years ago Asante master j uyu hamis ana saut tu kuimba awez jaman akuna uruma apo kalime tu hamis.
  • @
    @baranmohamedmbashir52995 years ago Kwa uwezo mola inshallah utafika mbali sana inshaallah hamsi.
  • @
    @aaa64sa135 years ago Middle Simba ni wasanii gani wanaoelekea kigoma coz naskia list imekuwa kubwa. We sasa macho na maskio Kigoma tu.Ni siku zilo bakia. Tukutane Kigoma Utaangalia ss vile utafika. 31 12 19 4life .. ...Expand 4
  • @
    @nsrnsr58384 years ago Wananchi hawana shida kazi kwako kaka maadm rita hongera sana dully mungu akupe moyo waimn uendelee hivyo hongera sana kwakuonyesha upendo wako.
  • @
    @abedkarume90885 years ago Master j hatumi kaulimaskini kijana wawatu. Mungu atamsimamia kufeli bss sio kufeli kwa maisha.
  • @
    @majudadykid52815 years ago Akipanga uwez pangua khamis god bless broo utafikaga2 usife moyo.
  • @
    @barakagadiel74555 years ago Hamisi nakukubali sana dogo langu hata mm nimependa ulivyo toka maana naamin mwakani usijali mkali wangu ukijipanga vizury unapenya bila kibinganishi chochote asante. 4
  • @
    @ahdahmed83835 years ago Masikin. Amisi anaimba vizurinauma sana. 2
  • @
    @johnsonlenas82275 years ago Namuona hamisi akiwa msanii mkubwa na maarufu kuliko mshindi wa bongo star search wa awamu hii! 83
  • @
    @johnpapaking14975 years ago Mungu akutangulie hamisi
    watanzanie wameona kipaji chako endelea kufight naamini utatoka tu.
    1
  • @
    @nsrnsr58384 years ago Umeliza hamis mungu atakupigania inshaallah master j mungu anakuona wallah maneno mazito mno mtoe tu lakin daa nimemumia sana duu inauma mno jamn maneno gani haya jamn e mungu wangu.
  • @
    @treshofficial54835 years ago Master j punguza iyo roho jaman em vaa via2 vya wazaz wa hamisi imagine ndo wewe uone mwanao anasakamwa ivyo looh ata kama ajui kuimba m2 usijivunie cheo . ...Expand 5
  • @
    @zupdee69965 years ago Hamis music co bss tu, kwa sasa una fan bas wengi sana so waweza fany chchote ili ufke mbali zaidi, will tell. 4
  • @
    @abuukilopo54405 years ago Nenda mdogo wangu mungu atakuona tu utafika mbali.
  • @
    @zwinsalhabsu2645 years ago Master mungu akulaani kwa kumtoa hamisi.
  • @
    @baranmohamedmbashir52995 years ago Hamsi mungu ataleta kheri yake inshallah kwako. 2
  • @
    @mtebebroscar7294 years ago Ukitaka kujua kumbuka ile ya konde boy pia alikatwa upepo na huyo mshenzi leo yuko wapi! Hongera sana hamida.
  • @
    @mussajackson7835 years ago Naona sawa tu mana jamaa kuna sehem nyingi kabebwa.
  • @
    @shizotz42735 years ago Hahahaa majaj makuma washa mpanga mshindi wao makuma hao. 1
  • @
    @diamondplatnumz61555 years ago Uyu mastar j nimshenzi yeye ampendia khamisi lakini khamisi mungu yukopamojanae akikaatakua mtumkubwa sana inshaallah. 1
  • @
    @roberthsagudasagudantobi96465 years ago I like this guy, you look have something in your mind life.
  • @
    @bintialfan21435 years ago ' #39; nitafurahi sana kama nitaambiwa hamisinever gve up hamisi mola yupamoja nawe ipo cku utatimiza malengo yako. 21
  • @
    @abdulrazaqthomas90515 years ago Mm nashindwa kuelewa masikin yamungu khamis alimfanyia nn master j mpaka kumchukia? 1
  • @
    @halimasssomar87935 years ago Afadhali wame mtoa kila siku kumsimanga tu. Hamisi riziki popote. Muimu juudi tu. 56
  • @
    @saudaclaris70955 years ago Hamisi gitaa unajua kwa kweli kuimba sio sana vile. 2
  • @
    @florencekaranja87365 years ago Hamisi nilikupenda lakini kusema ukweli hii mashidano ni kali sana kuna meshack, na wengine hapa wakali kukuliko so all the best dont give up. Team kenyan in doha. 7
  • @
    @shivobs44855 years ago Nimzfurah sana hamis mlivyo mtoa hajui ni huruma tu na kama angeshinda ningeumia sana.
  • @
    @BontamLee5 years ago Jamaa ana roho mbaya sana, wapo masharopua" 3
  • @
    @sombimussa14765 years ago Ety apa cio sehemu ya kuonea huruma? Mhh loo mastar j mungu anakuona.
  • @
    @mtebebroscar7294 years ago Jamaa kujitahidi sana akiacha na hongo star search atatoka tu.
  • @
    @shabanimkuyu28275 years ago Asihofu mungu atamsaidia, ila asikate tamaa. 6
  • @
    @Daphne3625 years ago Master j anakatisha tamaa sana, vile alivyo mufanyia harmonize, kisa kaimba maraika badala ya malaika. Sasa harmonize ni big star. Ila hamis yupo jusikate tamaa. 20
  • @
    @musamkali7715 years ago Uyu hamis wamemuonea tu walio mtoa hamis wamelaaniwa yaani wanaroho mbaya sana dah. 3
  • @
    @jacksonadriano87385 years ago Namuona hamisi akiwa star mkubwa sana kuliko wote hao. 3
  • @
    @ashanduwimana93915 years ago Amiis usikati tama kesho utakuwa kama amonaise nawata shanga kisioyo rizki akiliki ilakaza buti ira naumiya kwer. 5
  • @
    @elijahm.muthini5 years ago Hio ndio shinda ya waafrica, wanachukiana mbure tu, lkin mungu atakusaidia, huyu rasterman is not a professional judge very poor. 12
  • @
    @barakaalmas33995 years ago Kwanzia leo hamtaniona tena
    nafatilia kipindi hiki nimetumia mb zangu kwajili ya hamis.
    7
  • @
    @sekelamwangosi32895 years ago Izo ooh sasa nmeamin hamis nyimbo zingine hawez.
  • @
    @sholarfabian7755 years ago Hamis wala usijali mdogo wangu mungu hawez kukuacha nakuombea ipo siku utakua staa mkubwa hadi master j akushangae binafsi nmeumia mno. 1
  • @
    @ibrahim10chimah645 years ago Nimepga kura sana ila sito angalia huu upuzi tena, 1
  • @
    @mavumbimavumbi49055 years ago Unajuwa kuimba fanya mpango ututolee ngoma kali kabla ya bss kuisha. 4
  • @
    @zubedaibrahim24885 years ago Amis nakukubal sana umejitahidi sana mungu yupo pamoja nawe.
  • @
    @micahnzalawahe25985 years ago Sishangai hawa hata harmonize huko nyuma walimwambiaga hajui kuimba. 2
  • @
    @realremih4 years ago Hamiss hamkumwelewa.
    nahisi hipo siku wataelewa mziki wake.
    ata kama hakushinda bss he won our hearts.
  • @
    @aminakombo5825 years ago Masts j anamchukia sana khamisi labda kwakuwa alitukanwa mama akee.
  • @
    @ibraimdauda87135 years ago Masts j aufai leo ukoapo kesho ujuii hii ni dunia.
  • @
    @sakinahizza31325 years ago Pole khamisi leo ndio mwisho wakufatilia haya mashindano.
  • @
    @nadiaamisha29585 years ago Master j ndo zake hata kwa harmonize alibana, hawa wanakua wamepanga mshindi wao. 1
  • @
    @sisii3085 years ago Wewe ndiye mshindi wetu bss sirudi tena kuangaliye. 1
  • @
    @mohamedAli-vf8hp5 years ago Mm ctaifatilia tena bss coz am there coz of hamisi master j ww cio jurge ww enda ukalime i swear.
  • @
    @fatumaabdhul86205 years ago Masikin. Hamis. Wangu. Wamepanga. Mpaka. Wamekutoa. Ila. Usijali. Mungu. Yupo. Nawe. 1
  • @
    @sulaymanwaziri44555 years ago Mimi nilidhani mna saka vipaji, kumbe mnataguta mastaa! Sasa kama ni hivyo kwanini msiwachukue wakina, simba, kiba, konde, asley na wengine wengi maana hao ndio mastaa. 18
  • @
    @theprogrammer33515 years ago Master tu. Mwenye huruma naye hamfanyie donea aende chuo cha muziki kwanza, dogo kimuziki bado. Masterj upo hapo kikazi zaidi, big up broo.
  • @
    @swaggerswagger84145 years ago Jmn hamis mwenyew amkubl kutok maskin mnatbia mby nyie mnaanglia sura kiss amis anasur nzito km hamoniz amuwez kumtoa c o fear wcb mko wap ray van nakumbk mlitunz hamis mchukuen km harmoniz hajmchkua. 8
  • @
    @balangdalaluamb65405 years ago Master j tangu mwanzo tuu hamtakag hamis ana kisa nae alidai ametkaniwa mamaake na mashabik.
  • @
    @balistakevike73715 years ago Kiukwer hamis anaweza sema mastar j anamchukia mchizi namajaji hapo wanamsikiliza xana mastar j piga moyokonde hamisi utafika2 xafar yko? 3
  • @
    @kevinvincentvincent87395 years ago Wahamuzi mumehamuwa uyomtoto atoke sawa ulamungu anawahona. Wewe master jkunamajaji wengi waliwai kupita kablayako pia kilishafugwa mbinguninimatukiyo mawilisasa harmonaz pia ulimfanyiaivyo tunajuwa wewe unaroombaya kamanyoka ya edeni. ...Expand
  • @
    @polotheboy70105 years ago Da? Kuna vitu vinauma kama kudanganywa kuwa hujui wakati unajua. 7
  • @
    @ibraimdauda87135 years ago Muandae wenyewe alafu mumalize wenyewe, 5
  • @
    @mahuluwarioba74665 years ago Hamis don' t give up one day you will suceed be patient.
  • @
    @deusdeodavid53605 years ago Hajui kuimba bwna sema mnamuonea huruma tu. 29
  • @
    @baranmohamedmbashir52995 years ago Kwa mungu hakuna kisicho wezekana usikate tamaa hamsi mungu yuko moja na wewe.