Duration 47:31

LIVE | SIMBA 0-1 YANGA; UCHAMBUZI BAADA YA MECHI - VPL

59 395 watched
0
294
Published 3 Jul 2021

Mabingwa wa Kihistoria wa ligi kuu Tanzania Bara, Yanga SC wamewatandika watani wao wa jadi Simba bao 1-0 katika #KariakooDerby iliyopigwa leo kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Goli pekee la mchezo huo limefungwa na kiungo Zawadi Mauya, dakika ya 12. Pata uchambuzi wa kina kuelekea mechi ya watani wa jadi Simba vs Yanga, studio ukiwa na Patrick Nyembera, Ally Kamwe, Ally Mayay na Dominick Salamba. Mechi ni saa 11:00 jioni na tuko LIVE tayari Azam Sports 1 HD na UTV Unaweza kutupata pia kupitia AzamTV Max App kupitia Android. Tufuatilie pia kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Category

Show more

Comments - 29