Duration 21:23

MadeinTanzania Maonyesho ya Bidhaa za Viwanda na Ushiriki wa Wanawake katika Kukuza Viwanda TZ

500 watched
0
10
Published 3 Mar 2021

Kwenye MadeInTanzania wiki hii tumemulika maonyesho ya viwanda ya wanawake walioamua kujitosa kwenye ulingo wa MadeinTanzania yanayofanyika kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama. Kutana na chama cha Wanawake na wanawake mbalimbali ambao wanamiliki viwanda vidogo vidogo na kufahamu juhudi na mafanikio yao katika kukuza biashara ndogo ndogo na kuleta faida kwa Wanawake. Usikose kuangalia kupitia Clouds TV jumatano hii saa 2:30 usiku.

Category

Show more

Comments - 2