Duration 5:22

Mapenzi ya Mtandaoni

36 078 watched
0
617
Published 26 Jun 2021

Mahusiano hayana hata wiki tayari umeshaanza kumjaza kwenye mitandao yako ya kijamii na status kibao kila kona, Muda huo mwenzako hana hata muda wa kukupost anaangalia tu vile unavyoangaika Badilikeni.

Category

Show more

Comments - 35
  • @
    @amish9amina89911 months ago Hahahahahahah ibra nakupendaa bure broo.
  • @
    @habibamangale113910 months ago Ahsante sana kaka alla akuzidishie umri uishii miaka.
  • @
    @agapejosceline76833 years ago Mtu mwenyewe ana poa kama kwapa la shetani. Asante sana kwa somo nzuri. 4
  • @
    @nuruali78592 years ago Asayi weh ndo mkali kabisa kaka kali sana.
  • @
    @lewandowskibramah85423 years ago Kaka naomba unisupport you tube naitwa lewandowski bramah angalia kazi zangu one love ibrah. 1
  • @
    @lewandowskibramah85423 years ago Unayasema ni kweli vijana wa sasa mitandano ndio sehemu ya kujianika. 2