Duration 3:53

HITIMISHO LA MAFUNZO YA PORINI YA KIJESHI JWTZ KWA ASKARI 3052

122 337 watched
0
805
Published 16 May 2020

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeendelea na mazoezi ya matumizi ya silaha za kivita huku Askari wapya wakiombwa kuzingatia kwa umakini tahadhari zote muhimu katika kujikinga na maambukizi ya corona.

Category

Show more

Comments - 282